Sunday, 9 December 2012

CHE MUNDUGWAO NA WAZO LA KUUNDWA KWA TFMJ

MWANAMUZIKI  Che Mundugwao  pichani alikuwa na kilio cha muda mrefu juu upotoshwaji wa habari za muziki kwa kuwa Waandishi wengi  haufahamu muziki kinadharia kwa kushindwa kutofautisha aina ya mitindo ya muziki na wanamuziki.Hivyo kwa kupitia Shirikisho Tanzania Federation Musicic Journalists (TFMJ) lililoundwa na baadhi ya  waandishi.

Kwa kupitia TFMJ changamoto nyingi zitapata utatuzi hivyo wanahabari watatambua namna ya kutofautisha wanamuziki na miondoko ya nyimbo zao.

No comments:

Post a Comment